Hub for education news and events

Welcome, Guest
Username: Password: Remember me

Natafutashule Msaada

Natafushule imeanzisha forum hii ili wadau Elimu Tanzania, Kenya, Kenya, Uganda, Afrika na Duniani kwa ujumla waweze kuingia na kutoa mchango yao kwa maendeleo ya elimu kote.

Kutokana na hali hiyo Forum hii imegawanyika katika sehemu tano,
1. Hot tips - Hii sehemu zitakuwa zinapatikana hapari za hapo kwa papo ili wachangiaji watipitwe na mambo pindi wanapokuwa katika mjadala.

2. Tanzania - Hii sehemu ni kwa upande wa Tanzania ambapo wadau wa elimu tanzania wanaweza kukutana na kutoka maoni yako ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa zinazohusu elimu.

3. Kenya- Hii sehemu ni kwa upande wa Kenya ambapo wadau wa elimu tanzania wanaweza kukutana na kutoka maoni yako ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa zinazohusu elimu.

4. Uganda - Hii sehemu ni kwa upande wa Uganda ambapo wadau wa elimu tanzania wanaweza kukutana na kutoka maoni yako ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa zinazohusu elimu.

5. Afrika - Hii sehemu ni kwa upande wa Afrika ambapo wadau wa elimu tanzania wanaweza kukutana na kutoka maoni yako ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa zinazohusu elimu.

6. Duniani - Hii sehemu ni kwa upande wa Dunia nzima ambapo wadau wa elimu tanzania wanaweza kukutana na kutoka maoni yako ikiwa ni pamoja na kupeana taarifa zinazohusu elimu.

Kwa hiyo mnakaribiswa sana

Regards,
Admin
Time to create page: 0.133 seconds